Tuesday, June 2, 2015
DIT YAIBUKA KIDEDEA MICHUANO YA MPIRA WA MIGUU JIMBO LA ILALA
3:25 PM
No comments
CHUO CHA DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY [DIT] kimefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la jimbo la ilala lililokuwa likihusisha vyuo vinavyopatikana katika ukanda huo yaliokua yakifanyika katika uwanja wa DIT.DIT ilifanikiwa kuchukua ubingwa huo kutoka kwa wahasimu na majirani WAO chuo cha CBE kwa mikwaju ya penati[5-4],ambapo matokeo ya awali walitoka bao 1-1 kabla kipenga kupulizwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)